So Go Ahead Walk Away

Ni 4am in the morning na sijadoze bado natoss
Nawonder mind inawander, pressure inapanda
Moyo umeganda
Na sina namba anymore, ningekucall
But kwa simu nimejaza photos
Zako ukiwa kando ya moto mi kushoto
Sikudhani tungechoma picha siku ya mwisho tulibishana
Kama simba tulitishiana ni bahati hatukupigana
Lini love ikageuka kisanga ama ikaanza kuonja mchanga
Badala ya kupendana sasa tena imekuwa kutendana
Nakumbuka ukijitoa
Never thought ningetoboa
Simanzi pale stesheni
Pole sikufika bei
Yeeiyee

So go ahead, walk away
Wouldn't have made it, anyway
I know the pain will go away
I see me ɾise above the weight
Go ahead, walk away
Wouldn't have made it, anyway
I know the pain will go away
I see me ɾise above the weight
Mmmm
I see me ɾise above the weight yeiyee

Nlitaka twende kwa ma
Atupe baraka ma
Zingetupeleka far
Hatungewahi zama
Kwanza vile huniuma
Especially nikikumbuka
Kwa nguvu nilijituma
Lakini sikukuta
Ulikuwa umejenga ukuta
Kumbe [Am]nilishajitupa
Ikabidi nsugue mafuta
Kwa soko nikajirusha
Zile walks tulienda tukiwa pamoja bila agenda
Tulipenda kukinyesha ju kuna vibe [Am]ilitujenga
Sa kwa kona nazubaa when I ɾemember tukipendana
Shows tulienda za Bieber nikukumbuka ninaboeka
You told your friends nilikutenda, but walijua nilikupenda
Close my [A]eyes for [Dm7]a minute
Can never believe how you [A7did it
Ripped my [A]heart into [C7]two, kabla unichew
Now it's too many pieces
Na fundi wa kunishona anakulike [F]so anaezasnitch
I say we're we not going back
Yeah we will never go back
And no we're never looking back
Forever never looking back
Forever never looking back

So go ahead, walk away
Wouldn't have made it, anyway
I know the pain will go away
I see me ɾise above the weight
Go ahead, walk away
Wouldn't have made it, anyway
I know the pain will go away
I see me ɾise above the weight
Yeeiyeeii
No noo uooooh
Log in or signup to leave a comment

NEXT ARTICLE