Maisha Iko Sawa

Tangu jadi mimi nikiwa mtoi
Nilidream life big bila ngori
Piga dua nikihope ntachafua
Penye nia hapo ndo njia huwa
Nikimea life ilitulemea
Carol na Kevoh hii story wanaelewa
Chalk kwa board mathe akisaka doo
Hizo bonus vile tulizitegea
Nights were short ndoto [C7]zilikuwa mob
Mind kwa books busy nikichora future
Pale daro wakinibrand [Bm]kamobs
Cheki sasa wanaskiza huyu Mobx
Na si lazima wanitaje hata forbes
Kimziki si lazima niwe tops
Mountain tops haziwezi nipa hopes
Najua fiti nani hunishikilia

Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa
Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa

Bars kwa paper mikono kwa glass
Lines fire fire zimeenda class
Nyungu yangu haichokagi kupika
Hakuna siku ideas zinakatika
Hii talanta inazidi tu kunona
Bobea bobea niskume kila kona
Wakiskiza wanaanza tu kupona
Mahaters nao waendelee tu kubonda
Watch my [A]back nisikuwe kichwa ngumu
Niguide fiti ili usije nihukumu
Leo nimekam nimehepa hiyo harm
Patiently mi nizidi tu kulearn
Design ya summer heat mi hukata kiu
Uniquench kila time niko na kiu
Na pia usisahau kunipatia msupa
Na watoi angalau niitwe buda

Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa
Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa
Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa
Roho juu ninazidi kupaa
Mungu juu na ndivo inafaa
Yeye tu ndo mimi natambua
Maisha iko sawa

Yeah
Mobx Music
Mungu Juu Mungu tuu

Design ya summer heat mi hukata kiu
Uniquench kila time niko na kiu
Na pia usisahau kunipatia msupa
Na watoi angalau niitwe buda
Đăng nhập hoặc đăng ký để bình luận

ĐỌC TIẾP