Mateso ya mwenye haki kweli ni mengi lakini Emanueli
Mungu pamoja nasi hutuokoa kwa hayo yote
Vitu vyote hutendeka kwa wema wa wale wampendao Mungu
Hautabaki katika hali uliyo nayo mwite Yesu atakupumzisha
Shida zako zinapita hazitakawia ni wakati wa Mungu kukupanguza machozi
Na kuweka kicheko mdomoni mwako unaamini hayo basi tuimbe [Am]pamoja
Amen
Mfariji mwema mfariji mwema hakuna mfariji mwema kama we
Mfariji mwema mfariji mwema hakuna mfariji mwema kama we
Maisha ni mlima na mabonde chenye mwanzo kina mwisho
Fadhili zako hazina mwisho ewe ndiwe mfariji wangu
Ngome imara nakukimbilia nipumzishwe
shida zangu nazileta kwako ewe msaada wangu imbaaaa
Mfariji mwema mfariji mwema hakuna mfariji mwema kama we hakuna mfariji
Mfariji mwema mfariji mwema hakuna mfariji ooooh mwema kama we
Umekosa karo ewe mwanafunzi mitihani umefeli
Inua macho mtazame Yesu atakusaidia
Watoto [C7]wako wamepigwa na magonjwa ndoa inatikisika
Mifuko yako imetoboka mkimbilie mfariji wa kweli mfariji
Mfariji mwema wewe mfariji mwema Yesu mfariji hakuna
Mfariji mwema kama we imbaaa mfariji mwema mfariji mwema
Hakuna mfariji oooh mwema kama we
Umempoteza mpendwa marafiki na wazazi hawakutaki
Umesingiziwa usherati jipe moyo biashara yako haijafaulu
Mwambie Yesu anaweza magonjwa yote anayaponya Yesu yeye niiiii
Mfariji mwema eeeh mfariji mwema hakuna hakuna mfariji mwema kama we
Imbaaa mfariji mwema mfariji mwema hakuna hakuna mfariji mwema kama we
Machozi na kilio visikufanye ulie ni wakati wa Mungu kukupanguza machozi
Na kuweka kicheko mdomoni mwako halelluyah imba mfariji
Mfariji mwema eeh yeah mfariji mwema hakuna mfariji mwema kama we
Hakuna mfariji oooh baba mwema kama we mwemaaaa ah hakuna kama we
Hakuna hakuna mfariji mwema kama weee eeeh hakuna kama weeeh ooooh
Alρha na Omega hakuna kama wewe Baba hakuna kama we
Kama wewe kama wewe baba hakuna kama we ooooh hakuna kama wewe
Mfalme wangu hakuna kama we wewe unanifariji katika shida zangu zote
Hakuna kama we uliniokoa unanipenda baba hakuna kama we aaaah halelluyah
Hakuna kama weee