El Shaddai

Uwezo na upendo wako hauwezi linganishwa
Sifa zote nzuri ni zako ewe Mungu mwenye nguvu kuu
Uliishi unaishi utaishi milele oooh milele eeh oooh
Uwezo na upendo wako hauwezi linganishwa sifa zote nzuri ni zako ewe
Mungu mwenye nguvu kuu uliishi unaishi
Utaishi milele eeeh milele hakuna mwingine kama wewe

Elshaddai unaweza yote Mungu mwenye nguvu
Hakuna wa upendo kama wako ewe Bwana hakuna kama wewe
Bwana hakuna kamwe Elshadddai aai Elshaddai oooh unaweza yote
Mungu mwenye nguvu hakuna wa upendo kama wako ewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana hakuna kamwe

Oooh hakuna upendo kama wako hakuna
Hakuna sifa kama zako hakuna kamwe
Hakuna mamlaka kama yako hakuna
Hakuna ɾehema kama zako hakuna kamwe
Hakuna uweza kama wako hakuna
Hakuna neema kama yako hakuna kamwe
Hakuna kuponya kama wako hakuna hakuna amani kama yako
Oooooh hakuna kamwe

We worship you [A7Lord say
Elshaddai uuuh unaweza yote oooh
Mungu mwenye nguvu hakuna wa upendo hakuna wa upendo kama wako
Kama wako ewe Bwana oooh Elshaddai hakuna kamwe Elshadddai

Elshaddai uuuh unaweza yote mmmh
Mungu mwenye nguvu hakuna wa upendo kama wako ewe Bwana hakuna kamwe
Log in or signup to leave a comment

NEXT ARTICLE