Na unavyoniona nafurahia
Na unavyoniona nahisi raha
Na unavyoniona nafurahia
Na unavyoniona nahisi raha
Na si maisha yasonge
Na mbele yasonge
Kafuraha kanoge
Na zaidi kanoge
Na sasa ndio nini unataka kujishukishia furaha yako
Mastɾess za nini unataka kujiletea maisha yako
Na unasema haupangwingwi
Sa vituko za nini
Hasira za nini
Vituko za nini
Tujivinjari ɾi ɾi ɾi ɾi dada, weka stɾess kando
Tujivinjari ɾi ɾi ɾi ɾi kaka, tuzikwende tuzikwende
Tujivinjari ɾi ɾi ɾi ɾi dada, tujirushe tujirushe weh
Tujivinjari ɾi ɾi ɾi ɾi kaka, ɾi ɾi ɾi weeeh
Msoto [C7]hainitishingi hainitishingi
Hasira hainitishingi hainitishingi
Watu hawanitishingi hawanitishingi
Napambana niishi maisha ya kwangu
Shuguli sinaga ya watu
Shugulika na yako acha ya kwangu
Yangu yatakupa kichwa
Yataakuumisha mpaka kichwa
Yatakuumisha mpaka na mwili mzima mzima
Kuishi mara moja
Lakini ukiishi vyemma
Moja inatosha
Na ukiweza ishi vyema
Na watu pia
Tena ukiweza
Piga sherehe