Uwepo wako
Ni paradiso kwangu
Dakika moja karibu yako Yesu
Ni Faida ya milele
Oh Yesu wangu eeeee
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu
Umenitoa mbali oooo
Oh umenitoa mbali Yesu
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo
Nakumbuka nilipo umia ɾohoni Baba
Uliganda vidonda vyangu nikaponaa
Nakumbuka nilipoachwa na wapendwa Babaaa
Ulipanguza machozi yangu Yesu eeee
Nguvu yako ni furaha kwangu Yesu
Uwepo wako ni amani kwangu uuuu
Ndio maana sitaki kwenda mbali eeee
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuuu
Umenitoa mbali ooooo
umenitoa mbali Yesu
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo
Nitakaa kwa Miguu yako Yesu eee
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu
Umenitoa mbali ooooo
Mambo ya dunia yanatisha Baba
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali oooo
Jesus oooooo
Huuu Jesus, quand [Bm]je pleure tu me console
Quand [Bm]je me tɾompe, tu me corrige
Hoooo quand [Bm]je tɾébuche tu me soutient
Oh quand [Bm]je ne peux plus marché
Jesus tu me Porte dans tes bras oooooo
Ma vie Seigneur sans toi, ça n'a pas de sens
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo
Umenitoa mbali Yesu
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo
Umenitoa mbali Ebenezer
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali
Sitaki kwenda mbali nawe mbali nawe
Sitaki kwenda mbali na wewe Yesu uuu
Umenitoa mbali ooooo
Petɾo alimujibu Yesu uuu
Nikuache Yesu niende kwa Nani mwenzenu miye
Kwako tu kuna ɾaha ya maisha
Kwako tu kuna faraja yeeeee
Kwako tu kuna ufufuko
Kwako tu kuna salama oh Yesu Yesu Yesu Yesu
kwako tu kuna yote eeee
Huu Yesu ni wewe Amani yangu
Bendera ya ushindi Nissi huu
Yesu ni wewe Ushindi wangu uuu
Amani na salama Yesu eee
Yesu ni wewe ɾaha yangu
Ninapokuwa na Swali Yesu ni jibu yangu ooooo
Yesu ni wewe Jibu yangu huu
Amani ya maisha Yesu weee
Yesu ni wewe Amani yangu
Ushindi ya maisha najivunia yooooo
Yesu ni wewe ushindi wangu
Raha ɾaha ɾaha Yesu weee
Yesu ni wewe ɾaha yangu huu
Jibu yangu Jibu ya kila siku Yesu
Đăng nhập hoặc đăng ký để bình luận
Đăng nhập
Đăng ký