Kristo, Kristo, Kristo
Nitakutana nayeye
Nitakutana nayeye
Atakutana nami
Atakutana nami
Kristo, Kristo, Kristo
Sina budi kwenda sasa sasa
Sina budi kwenda sasa sasa
Lazima nisichelewe
Mtoto amezaliwa
Mtoto amezaliwa
Mtoto [C7]amezaliwa
Kristo, Kristo, Kristo
Gloria