Riziki imekwishaaa
Kilichobaki ni shari zake
Nimejitua nilichojitwika
Na bado nakosa furaha
Mapenzi we mapenzi wewe mapenzi anhaaa
Mapenzi una sura gani
Sasa mbona unaninyima raha
Nimeshafuta na picha tulizopiga nikusahau kabisa
Ila moyoni bado haujanitoka
Ndio jambo linanikondesha
Na unavyotakaga sifa
Hizo picha insta unazopost
Moyo unakunja ndita
Nahisi vita huenda namikosi
Ila ara moja hazikai panga mbili hilo najua
Inshallah nitangoja hata iwe alfajiri kwako nitarejea
Forever i need your love
Forever i need your love
I need your love
I need your love
Forever i need your love
Forever i need your love
Your in my [A]heart
Ooooh oooh
Mwenzako ninawivu kwako wewe
Penzi nilile kwa uchoyo
Japo sina makosa unisamehe
Bora nijifanye poyoyo
Mapenzi uvumilivu nielewe
Si kumaliza godoro
Ona umeliharibu mwenyewe
Mhhhh
Maisha bila penzi lako
Ni bora kifaranga aliyekosa mama
Siyatazami mapungufu yako
Bora niwe zizini ili niwe salama
Wakinipita marafiki zako
Napata hisia machoni kama nakuona
Siyatazami mapungufu yako
Hoo Babaaa
Ila ara moja hazikai panga mbili hilo najua
Inshallah nitangoja hata iwe alfajiri kwako nitarejea
Forever i need your love
Forever i need your love
I need your love
I need your love
Forever i need your love
Forever i need your love
Your in my [A]heart
Ooooh oooh